1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Raif Badawi

Raif Badawi ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa Saudi Arabia na mwanablogi. Mwezi Novemba 2014 alihukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani, kutoza faini na kupigwa viboko 1000 - 50 kwa wakati mmoja kwa muda wa wiki 20.

Badawi, amabye amekuwa gerezani tangu 2012, alikuwa amepangiwa kupigwa vikobo kila Ijumaa. Lakini shirika la Amnesty International lilirpoti Januari 16,2015, kwamba adhabu hiyo ilifutwa kwa misingi ya kiafya. Februari 25, DW ilimpa badawi tuzo yake ya kwanza ya uhuru wa kujieleza. Huu ni mkusanyiko wa maudhui zetu za karibuni kuhusu mwanablogi huyo alieko gerezani.