Pendekezo la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu amani Mashariki mwa Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 17.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Pendekezo la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu amani Mashariki mwa Kongo

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imesema kuwa imehuzunishwa na kushangazwa na pendekezo la baraza la usalama la umoja wa mataifa la kuitaka ifanye mazungumzo na jenerali muasi Laurent Nkunda.

Jenerali Laurent Nkunda

Jenerali Laurent Nkunda

Wakati huo huo serikali ya Kongo inayashutumu majeshi na makundi ya wapiganaji kutoka Rwanda kwa kuhusika na ukosefu wa usalama mashariki mwa nchi hiyo.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo na taarifa zaidi kutoka Kinshasa.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com