1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

WTO

Shirika la Biashara Duniani, WTO ni shirika la kimataifa linalodhibiti biashara duniani. Lilianzisha Januari 1, 1995 na makao yake makuu yako mjini Geneva, nchini Uswisi. WTO inao wanachama 193.

WTO ndiyo shirika pekee la kimataifa linaloshughulikia kanuni za biashara miongoni mwa mataifa. Linashughulikia hasa mikataba ya kimataifa ya biashara iliojadiliwa na kusainiwa na mataifa ya ulimwengu na kisha kuidhinishwa na mabunge ya mataifa hayo. Lengo ni kuhakikisha biashara inafanyika vizuri, kwa kutabirika na kwa uhuru zaidi iwezekanavyo.

Onesha makala zaidi