1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Brandenburg

Brandenburg ni moja ya majimbo 16 ya Ujerumani, linauzunguka mji mkuu wa Berlin lakini mji huo siyo sehemu ya Brandenburg. Jimbo lina idadi ya watu chini ya milioni sita.

Kanda hiyo ndiyo ilikuwa kitovu cha ufalme wa kihistoria wa Prussia. Kufuatia Vita kuu vya Pili vya Dunia, theluthi ya mashariki ya mji huo wa kihistoria iligawiwa kwa Poland mwaka 1945. Brandeburg, ambalo mji wake mkuu ni Postdam, inafahamika sana kutokana na mazingira yake ya asili yaliohifadhiwa vizuri. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu jimbo hilo.

Onesha makala zaidi