1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

G20

G20 ni nchi 20 zinazoongoza kiuchumi duniani na zinazojumuisha takriban theluthi tatu ya idadi ya watu duniani. Viongozi wa nchi za G20 hukutana mara mbili kila mwaka, kwa lengo la kujadili masula ya uchumi wa dunia.

Kundi la G20 lilikuja kuchukuwa nafasi ya kundi lilokuwa likijulikana kama G8 mwaka 2009. Wanachama wa kundi la G20 ni : Argentina, Australia, Brazil, Canada, China, Umoja wa Ulaya, Ufaransa, Ujerumani, India, Indonesia, Italia, Japani, Mexiko, Urusi, Saudi Arabia, Afrika Kusini, Korea Kusini, Uturuki, Uingereza, Marekani.

Onesha makala zaidi