1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Luther Martin

Mwaka 1517 Luther Martin aliandika waraka unaoshambulia uuzaji wa mambo ya anasa. Hoja zake 92 zilikuja kusababisha mageuzi na kugawanyika kwa Kanisa Katoliki.