1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Donald Tusk

Donald Tusk ndiye rais wa baraza la Umoja wa Ulaya tangu 2014. Alihudumu kama waziri mkuu wa Poland kuanzia 2007 hadi 2014 na alikuwa muasisi mwenza na mwenyekiti wa chama cha siasa cha Jukwaa la Kiraia.

Tusk amejihusisha na siasa na Poland tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990, akianzisha vyama kadhaa vya kisiasa na kushika nyadhifa mbalimbali serikalini mfululizo tangu 1991. Mwaka 2014 alichaguliwa katika nafasi ya Rais wa Baraza la Ulaya na kuchaguliwa kwa muhula wa pili mwaka 2017. Alijiuzulu kama waziri mkuu wa Poland kuchukuwa wadhifa huo, akiwa ndiye kiongozi aliedumu muda mrefu katika nafasi hiyo katika Jamhuri ya tatu ya Poland.

Onesha makala zaidi