1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushindi wa upinzani Poland na mustakabali wa Umoja wa Ulaya

18 Oktoba 2023

Vyama vitatu vilivyoungana nchini Poland vimepata wingi wa viti bungeni na hivyo kuwa na uwezekano wa kuunda serikali kuchukuwa nafasi ya serikali ya siasa kali za mrengo wa kulia, ambayo ililaumiwa kwa kuvunja kanuni na utamaduni wa Umoja wa Ulaya. Bakari Ubena anaangazia mustakabali wa uchaguzi huu kwa Umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4Xg8n