1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Poland

Poland ni nchi ya Ulaya Mashariki inayokutikana kwenye bahari ya Baltic, ikifahamika zaidi kwa majengo yake ya kale na urithi wa Kiyahudi.

Ikiwa na wakaazi milioni 38.5, Poland ni nchi ya sita kwa kuwa na wakaazi wengi barani Ulaya. Poland imekuwa katika msuguano na Umoja wa Ulaya kuhusiana na mageuzi yanayofanywa na serikali ya taifa hilo katika idara ya mahakama, ikitishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na umoja huo. Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu Poland.

Onesha makala zaidi