1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jukwaa la kimataifa la vyombo vya habari

Jukwaa la kimataifa la vyombo vya habari la DW huwaleta pamoja wataalamu wa sekta ya habari na watoa maamuzi kutoka nyanja za siasa, mashirika ya kiraia, utamaduni, biashara na sayansi kujadili na kutafuta masuluhisho.

Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu Jukwaa la kimataifa la vyombo vya habari, linaloandaliwa kila mwaka na shirika la utangazaji la kimataifa la Deutsche Welle, DW.

Onesha makala zaidi