1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tamasha la Filamu la Cannes

Tamasha la filamu la Cannes ni tukio la mwaka linaloonyesha filamu za kila aina kutoka duniani kote.

Lilianzishwa mwaka 1946 na tangu wakati huo limekuwa mmoja ya matamasha yenye nguvu zaidi duniani. Tamasha hilo la mwaliko tu linafanyika mjini Cannes kila mwaka. Kila mwaka, jopo la majaji linatoa tuzo ya Palme d'Or kwa filamu bora ya shindano rasmi. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu tamasha la filamu la Cannes.