1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mosul

Mosul ni mji mkubwa kaskazini mwa Iraq, ambao ulikuwa na jumla ya wakaazi milioni 1.8 wa makabila tofauti mwanzoni mwa karne ya 21.

Takribani watu nusu milioni waliikimbia Mosul katika nusu ya kwanza wa mwaka 2014, wakati kundi la wapiganaji wa itikadi kali la Dola la Kiislamu IS, lilipoanzisha mashambulizi ya kuudhibiti mji huo.Tangu Okotoba 2016 mji huo umeshuhudia operesheni ilioongozwa na serikali ya Iraq, katika juhudi za kuwafurusha wapiganaji hao. Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu Mosul.

Onesha makala zaidi