1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Kiswahili la Bayreuth

Ni kongamano la kiloa mwaka linalowakutanisha wataalamu la lugha ya kiswahili kutoka kote ulimwenguni kujadili maendeleo, tafiti na changamoto za lugha hiyo. Linafanyika katika mji wa kusini mwa Ujerumani wa Bayreuth.