Vyombo vya habari na mustakabali wa Kiswahili | Masuala ya Jamii | DW | 02.06.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Vyombo vya habari na mustakabali wa Kiswahili

Vyombo vya habari vina mchango mkubwa katika kuitangaza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili. Lakini kuna wasiwasi uliojitokeza kwamba vyombo hivi vimeanza kuiharibu lugha hiyo.

Bayreuth - 28. Swahili Kolloquium

Mohammed Khelef (kulia) wakati alipomhoji Ken Walibora mjini Bayreuth

Ingawa kuongezeka kwa vituo vya redio vinavyotumia lugha ya Kiswahili kwenye maeneo ya Afrika Mashariki kulitazamiwa kuwe neema kwa lugha hiyo, wasomi na wataalamu wa lugha wanahofia kwamba aina ya Kiswahili kinachotumiwa kwenye vituo hivyo vya redio kinakwamisha maendeleo halisi ya Kiswahili.

Mohammed Khelef alihudhuria Kongamano la 28 la Kiswahili lililofanyika katika mji wa kusini mwa Ujerumani, Bayreuth, na kuzungumza na Profesa Ken Walibora kutoka Kenya, ambaye kwanza anaelezea kiini cha wasiwasi alionao juu ya mustakabali wa lugha ya Kiswahili.

Kusikiliza mahojiano haya bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com