1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Shirika la ndege la Ujerumani (Lufthansa)

Luftansa ndiyo shirika rasmi la ndege la Ujerumani na pia ndiyo kubwa zaidi barani Ulaya, katika muktadha wa wingi wa abiria na idadi ya ndege.

Luftansa pia shirika mama la mashirika kadhaa mengine ya ndege, na matawi mengine yanayohusiana na usafiri wa angani, miongoni mwayo ni shirika la ndege la kimataifa la Uswisi, Germanwings na Luftansa Technik. Makao makuu ya Luftansa yako mjini Cologne. Maudhui za DW kuhusiana na shirika hilo zinapatikana katika ukurasa huu.