1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jarida la Forbes

Forbes ni jarida la biashara la Kimarekani linalochapishwa kila wiki mbili likiangazia masuala ya fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Forbes pia linaripoti kuhusu mada zinazofanana kama teknolojia, mawasiliano na siasa.

Makao yake makuu yako Jersey City, katika jimbo la New Jersey. Washindani wake wakuu katika kategoria ya biasahra ya majarida ni Jarida la Fortune na Bloomber Businessweek. Jarida la Forbes ni maarufu kutokana na orodha zake zikiwemo za Wamarekani matajiri zaidi (Forbes 400), za makampuni ya juu zaidi duniani (Forbes Global 2000), na mabilionea wa dunia. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa mada za DW kuhusu Jarida la Forbes.

Onesha makala zaidi