1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Soko la ajira

Vizazi vya wachumi vimepiga bongo kuhusu zana na sera bora za kuelekea soko la ajira linaloweza kubadilika kwa urahisi zaidi na kuzingatia masilahi ya waajiri na waajiriwa.

Unyumbulifu unaonekana kuwa jambo la muhimu zaidi, na huo ndiyo uwezo wa kubadilika kwa wepesi kulingana na mazingira ya wakati huo ya kiuchumi kitaifa na kimataifa. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu mada hiyo.

Onesha makala zaidi