PARIS.Baraza jipya la mawaziri latangazwa nchini Ufaransa | Habari za Ulimwengu | DW | 18.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PARIS.Baraza jipya la mawaziri latangazwa nchini Ufaransa

Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa ametangaza baraza la mawaziri ambapo nusu ya nyadhifa zitashikwa na wanawake.Waziri mpya wa mambo ya nje atakuwa bwana Bernard Kouchner , msoshalisti , alieanzisha shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka.

Baraza hilo jipya chini ya waziri mkuu Francois Fillon lina mawaziri 15 .

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com