1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Charlie Hebdo

Charlie Hebdo ni jarida la tashtit la kila wiki linalotolewa nchini Ufaransa. Linajumlisha vikaragosi, ripoti, mijadala, na utani.

Jarida hilo linalojieleza kuwa lisilo na dini na la kipagani, linachapisha makala kuhusu siasa kali za mrengo wa kulia – hasa chama cha National Front, dini (Ukatoliki, Uyahudi na Uislamu), siasa na utamaduni. Jarida hilo limeshambuliwa mara mbili – mwaka 2011 na 2015, mashambulizi ambayo yanadhaniwa kuwa ya kulipa kisasi kutokana na kumdhihaki Mtume Muhammed kupitia vikaragosi vyake lililovichapisha. Katika ukurasa huu utakuta maudhui mbalimbali za DW kuhusu jarida hilo.