OUGADOUGOU: Makubaliano yatiwa saini kufufua mchakato wa amani Ivory Coast | Habari za Ulimwengu | DW | 04.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

OUGADOUGOU: Makubaliano yatiwa saini kufufua mchakato wa amani Ivory Coast

Rais Laurent Gbagbo wa Ivory Coast na kiongozi wa waasi Guillaume Soro,leo hii wametia saini makubaliano yenye lengo la kufufua mchakato wa amani katika nchi hiyo ya Afrika ya Magharibi iliyogawika.Makubaliano hayo ni matunda ya mwanzo ya majadiliano ya uso kwa uso yaliyozinduliwa mwanzo wa mwezi Februari katika mji mkuu wa Burkina Faso.Makubaliano hayo yalipatikana siku ya Jumamosi chini ya usimamizi wa Rais Blaise Compaore wa Burkina Faso.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com