1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tuzo ya Nobel

Wapokeaji wa tuzo ya amani ya Nobel wamehusisha wanasiasa, mashirika ya kimataifa, mavuguvugu ya amani na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu.

Mgunduzi wa Sweden Alfred Nobel aliainisha katika usia wake kwamba utajiri wake utumiwe kuunda wakfu ambao kila mwaka utachaguwa mtu ambaye amefanya kazi bora kwa ajili ya kuendeleza udugu baina ya mataifa, kwa ajili ya kuondoa au kupunguza majeshi ya kivita, na kwa kusimamia na kuendeleza mikutano ya amani. "Ndugu za Nobel walikasirishwa

Onesha makala zaidi