Nchi ambazo wanawake wanaongoza | Mada zote | DW | 08.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Nchi ambazo wanawake wanaongoza

Katika mataifa huru 195 duniani, mengi bado yanaongozwa na wanaume katika nafasi mbalimbali kama vile Rais, Kansela, na waziri mkuu. Wanawake bado ni wachache katika nafasi za uongozi.