1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi Ujerumani 2017

Watu milioni 60 wana vigezo vya kushiriki katika uchaguzi mkuu wa bunge la Ujerumani - Bundestag Septemba 24, 2017.

"Bundestag" ndiyo chombo kikuu cha kutunga sheria nchini Ujerumani. Wajumbe wake zaidi ya 600 huchaguliwa kila baada ya miaka minne katika mfumo mchanganyiko wa kura za majimbo na orodha. Katika ukurasa huu utapata mtiririko wa maudhui za DW kuhusiana na uchaguzi mkuu wa Ujerumani mwaka 2017.

Onesha makala zaidi