1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uingereza

Uingereza au UK ni kisiwa kichachoundwa na mataifa ya England, Scotland, Wales na Island ya Kaskazini. England - alikozaliwa Shakespear na The Beatles – ndiko uliko mji mkuu London.

Uingereza ni taifa la Ufalme wa kikatiba linalofuata mfumo wa utawala wa bunge. Malkia wa sasa, tangu Februari 9, 1952 – ni Elizabeth wa Pili. Uingereza ni nchi iliyoednelea na ndiyo chumi ya tano kwa ukubwa duniani kwa vigezo vya pato jumla la ndani na ya kumi duniani katika muktadha wa uwezo wa kununua.

Onesha makala zaidi