1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Chile

Chile ni ilioko kwenye pwani ya kusini mwa pwani ya Amerika ikipakana na Peru, Bolivia na Argentina. Mji wake mkuu na mkubwa zaidi ni Santiago

Chile ni koloni la zamani la Uhispania. Ilitangaza uhuru wake mwaka 1818. Kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliosaidiwa na Marekani mwaka 1973, dikteta Augusto Pinochet aliiongoza nchi hiyo kwa miaka 16. Chile ina utajiri mkubwa wa rasilimali na sasa hivi ndiyo mmoja ya yaliostawi zaidi katika bara la Amerika Kusini. Ukurasa huu ni mkusanyo wa maudhui za DW kuhusu Chile.

Onesha makala zaidi