1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana - 02.06.2024

2 Juni 2024

Chama cha ANC Afrika Kusini chahitaji washirika kuunda serikali ya mseto. Zelensky akisikitshwa na baadhi ya viongozi kususia mkutano kuhusu amani ya Ukraine. Na kiongozi wa klabu ya Borussia Dortmund asema anajivunia timu yake licha ya kupoteza fainali ya kombe la mabingwa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4gY2D