1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ligi ya Mabingwa ya UEFA

Ligi ya Mabingwa ya UEFA, maarufu kama Champions League, ndiyo mashindano ya hadhi kubwa zaidi katika kandanda barani Ulaya.

Klabu bora zaidi za soka barani Ulaya zinashindana katika tukio hili la kimichezo lililotazamwa zaidi duniani mwaka 2013, likivutia watazamaji milioni 360 wa televisheni. Zifuatazo ni makala za karibuni za DW kuhusu ligi ya Mabingwa ya Ulaya.

Onesha makala zaidi