1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Borussia Dortmund - BVB

Borussia Dortmund, au BVB, ni klabu ya kandada ya Ujerumani. Katika miaka ya karibuni, klabu hii imekuwa ni mpinzani mkubwa wa klabu ya Bayern Munich katika kinyanganyiro cha taji la Bundesliga.

Borussia Dortmund wameshawahi kushinda Kombe la Shirikisho la Ulaya mwaka 1997 ambalo sasa linajulikana kama Champion’s Laeague pamoja na Kombe la washindi wa Ligi za Ulaya mwaka 1966 ambalo sasa linajulikana kama Europa League. Kiwanja chao cha mpira cha Westfahlenstadion ndio kikubwa zaidi katika ligi ya Bundesliga.

Onesha makala zaidi