1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Cyril Ramaphosa

Cyril Ramaphosa ni mwanasiasa wa Afrika Kusini na rais wa tano na wa sasa wa taifa hilo tangu Februari 15, 2018. Baada ya kujizulu kwa Jacob Zuma, ilipigwa kura bungeni Februari 15, ambako Ramaphosa alichaguliwa.

Ramaphosa ambaye alikuwa mwanaharakati wa kupambana na ubaguzi wa rangi - Apartheid, kiongozi wa vyama vya wafanyakazi na mfanyabiashara maarufu, alihudumu kama naibu rais wa Afrika Kusini kuanzia 2014 hadi 2018. Alichaguliwa kuwa rais wa chama cha Africa National Congress ANC, katika mkutano mkuu wa chama uliofanyika Nasrec, kusini mwa Johannesburg, Desemba 2017. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Cyril Ramaphosa.

Onesha makala zaidi