1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Chernobyl

Chernobyl, nchini Ukraine, lilikuwa eneo na janga kubwa kabisaa la kiynuklia 1986. Wakati jaribio la mdumo katika mtambo liliposhindwa kudhibitiwa, na kusababisha uvujaji wa miale iliyosambaa barani Ulaya kote.

Eneo eneo lialozunguka Chernobyl nchini Ukraine liliathiriwa na linaendelea kuwa hivyo mpaka siku hii. Mwanzoni maafisa wa utawala wa Kisovieti, walifunika sakata hilo. Raia hawakujulishwa au kuhamishwa. Athari za tukio hilo bado zinaendelea hadi hii leo, kukiwa na madhara makubwa sana ya kiafya na vifo. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Chernobyl.

Onesha makala zaidi