1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Yulia Tymoshenko

Yulia Tymoshenko ni mwanasiasa wa nchini Ukraine. Alikuwa kiongozi mwenza wa mapinduzi ya "Orange" na alihudumu kama waziri mkuu kabla ya kufungwa chini ya utawala wa Viktor Yanukovych.

Yulia Tymoshenko ndiye kiongozi wa chama cha "Fatherland". Baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka 2010 na Viktor Yanukovych, alifungwa gerezani kwa ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka - mashtaka ambayo yalitazamwa na mataifa ya magharibi kama yaliochochewa kisiasa. Aliachiwa mwaka 2014 wakati wa maandamano ya kuunga mkono Umoja wa Ulaya. Ukurasa huu ni mkusanyo wa maudhui za DW kuhusu Yulia Tymoshenko.

Onesha makala zaidi