MOGADISHU: Shambulio la gruneti limesababisha vifo 3 | Habari za Ulimwengu | DW | 02.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MOGADISHU: Shambulio la gruneti limesababisha vifo 3

Kwa mujibu wa serikali ya Somalia,si chini ya watu 3 wameua katika shambulio la gruneti lililotokea kwenye eneo la bandari katika mji mkuu,Mogadishu.Inasemekana kuwa wanamgambo wa Kiislamu ndio wanashukiwa kuhusika na shambulio hilo la gruneti.Hapo awali,watu mia kadhaa waliandamana mjini Mogadishu kupinga mpango unaotazamia kupeleka Somalia vikosi vya Kiafrika kulinda amani nchini humo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com