1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Somalia

Somalia, ambayo rasmi inaitwa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia, ni nchi iliyoko kwenye pembe ya Afrika. Inapakana na Djibouti, Ethiopia, Kenya , Ghuba ya Aden na Bahari ya Hindi.

Somalia ndiyo nchi yenye mwambao mrefu zaidi katika bara la Afrika, na ina wakaazi wapatao milioni 10.8 ambapo karibu asilimia 85 ni Wasomali wa asili, ambao kihistoria walikuwa wenyeji wa sehemu ya kaskazini ya Somalia. Watu wa makabila ya wachache wanakutikana zaidi kwenye mikoa ya kusini. Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu Somalia.

Onesha makala zaidi