Mlipuko wa Bomu jijini Nairobi,kenya12.06.200712 Juni 2007Hospitali kuu ya Kenyatta jijini Nairobi leo ilikuwa na shughuli nyingi za kuwapokea waathiriwa wa mlipuko uliotokea mapema jana asubuhi.https://p.dw.com/p/CHCpPolisi akiwa kwenye eneo la mlipuko hapo Nairobi.Picha: APMatangazoBaadhi ya majeruhi walitibiwa na kuruhusiwa kwenda nyumbani ili hali wale walioumia zaidi wanaendelea kutibiwa katika hospitali hiyo. Mwandishi wetu Alfred Kiti ametuletea ripoti ifuatayo kutoka Nairobi.