Mkutano wa mawaziri wa Ulinzi wa Maziwa Makuu | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa mawaziri wa Ulinzi wa Maziwa Makuu

Mawaziri wa ulinzi na wakuu kutoka makao makuu ya kijeshi ya nchini Burundi, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Uganda wako mjini Bujumbura,Burundi kwa shabaha ya kuanzisha mikakati ya pamoja ya kupambana na makundi yanayoweza kuhatarisha usalama katika nchi hizi.

Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura ana ripoti kamili.