Mkutano wa maaskofu wa kanisa la Anglikana nchini Tanzania
21 Februari 2007
Mkutano wa maaskofu wa kanisa la Anglikana nchini Tanzania hatimaye umemalizika kwa kutolewa azimio lenye msimamo mkali dhidi ya ndoa za watu wa jinsia moja ndani ya kanisa hilo.
https://p.dw.com/p/CHJk
Matangazo
Pia azimio hilo limelitaka kanisa la APISCOP tawi la marekani la kanisa la Anglikana kuomba radhi na kuacha mara moja kufungisha ndoa za mashoga na wasagaji. Badra Masoud anaripoti kutoka Dar es Salaam.