1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kanisa Katoliki

Kanisa Katoliki ambalo linajulikana pia kama Kanisa Katoli la Roma, ndiyo kanisa kubwa zaidi la Kikristo, likiwa na wafuasi bilioni 1.299 duniani.

Kama mmoja ya taasisi kongwe zaidi za kidini duniani, Kanisa Katoliki limetoa mchango mkubwa katika historia na maendeleo ya ustaarabu wa kimagharibi. Kanisa hilo linaongozwa na Askofu wa Roma, anaefahamika kama Papa. Katika ukurasa huu utakuta maudhui zote za DW zinazohusiana na Kanisa Katoliki.

Onesha makala zaidi