Mgomo wa wafanyakazi nchini Ufaransa
7 Septemba 2010Matangazo
Rais huyo amewataka wabunge wa chama chake cha UMP, chenywe wingi bungeni, wasimame kidete na wauuunge mkono leo mpango wake huo pale mswada juu ya jambo hilo utakapojadikiwa bungeni.
Othman Miraji alimpigia simu mkaazi wa mji mkuu wa Paris, Mohammed Saleh, na kumuuliza mgomo huo umeathiri kwa kiwango gani maisha ya kawaida jijini humo...
Mtayarishaji: Othman Miraji
Mpitiaji: Josephat Charo