Matumaini kuhusu mgogoro wa madereva wa treni Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 19.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Matumaini kuhusu mgogoro wa madereva wa treni Ujerumani

Majadiliano ya ngazi ya juu yanatazamiwa kufanywa siku ya Jumanne kati ya chama cha wafanyakazi cha madereva wa treni-GDL na shirika la reli-Deutsche Bahn.Waziri wa usafiri wa Ujerumani Wolfgang Tiefensee amesema,ana hakika kuwa pendekezo jipya la Deutsche Bahn litafungua njia ya kuanzishwa majadiliano mapya,kati ya pande hizo mbili.Hapo awali,mkuu wa GDL bwana Manfred Schell alidai ongezeko la mshahara la asilimia 15.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com