MANILA: Kimbunga „Utor“ kimefika mwambao wa Ufilipino | Habari za Ulimwengu | DW | 09.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MANILA: Kimbunga „Utor“ kimefika mwambao wa Ufilipino

Kimbunga kilichopewa jina la „Utor“ kimefika kwenye pwani ya Ufilipino kikiwa na upepo wenye mwendo wa kilomita 120 kwa saa.Kiasi ya watu 15,000 wamehamishwa kutoka wilaya ya Albay, ukingoni mwa Mlima wa Mayon.Wiki moja iliyopita kimbunga cha „Durian“ kilisababisha mvua kubwa na mafuriko katika eneo hilo la mlima wa volkano. Zaidi ya watu 1,200 walifariki katika mafuriko na matope yaliyoporomoka.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com