Jumuiya za kiraia – Kipindi 4 – Uandishi wa dhihaka
7 Aprili 2011
Uandishi wa dhihaka ni mchanganyiko wa vichekesho vikiwa na ukosoaji wa kisiasa au kijamii. Mara nyingi magazeti huchapisha vibonzo vyenye kudhihaki na makala za mzaha. Katika kipindi hiki tunaelekea Senegal.