1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali la haki za binadamu lenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam, likiwa na ofisi ndogo mjini Arusha.

LHRC iliasisiwa na kusajiliwa mwaka 1995. Kabla ya kusajiliwa Septemba 1995, kituo hicho kilikuwa mradi wa haki za binadamu wa Wakfu wa elimu ya kisheria Tanzania (TANLET). Lengo lake kuu ni kuwawezesha wananchi, kukuza, kuimarisha na kulinda haki za binadamu na utawala bora nchini Tanzania. Katika ukurasa huu utakuta maudhui za karibuni za DW kuhusu LHRC