1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti iliyoangazia uchaguzi mkuu wa Tanzania 2020 imetolewa

Florence Majani
3 Juni 2022

Ripoti iliyopewa jina la "Rekebisha Makosa: Kuangazia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020" iliyoandaliwa kwa ushirikiano na taasisi ya Sauti Kubwa ya nchini Tanzania na Journalist for Justice ya nchini Kenya, imeibua matukio makubwa ya uvunjaji wa haki za binadamu yakiwamo mauaji yaliyofanyika wakati wa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Florence Majani.

https://p.dw.com/p/4CFBn
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Kenia Kilifi | Exhumierung von Mitgliedern von Christlichem Kult durch Polizei
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW
Nenda ukurasa wa mwanzo