1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LHRC: Bajeti ya Tanzania imeacha pengo la usawa wa kijinsia

George Njogopa
17 Juni 2022

Uchambuzi uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania kuhusu bajeti mpya ya serikali nchini humo, unaonyesha kwamba licha kwa kiasi kikubwa bajeti hiyo kuyagusu maeneo mengi muhimu, imeacha pengo kubwa la usawa wa kijinsia. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Dar es Salaam George Njogopa.

https://p.dw.com/p/4Cruk