1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gauck akataa kugombea muhula wa pili

Oumilkheir Hamidou21 Juni 2016

Tangazo la Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, kusema kuwa ataiongoza nchi kwa muhula mmoja tu, limetoa changamoto kwa vyama vya kisiasa kutafuta wagombea mapema. Sura ya Ujerumani inaagazia uamuzi wa Gauck na watu wanaoweza kuchukua nafasi yake.

https://p.dw.com/p/1JAWJ