1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Joachim Gauck

Joachim Gauck ni rais wa sasa wa Ujerumani, na kabla ya kuungana tena kwa Ujerumani ya magharibi na ile ya mashariki alikuwa ni mchungaji katika kanisa la Kiprotestanti.

Wadhifa wa rais wa Ujerumani kwa sehemu kubwa ni wa heshima na sio wa utendaji. Joachim Gauck ni kiongozi anayetilia msisitizo zaidi, umuhimu wa kutetea haki za binadamu. Gauck pia ni kiongozi aliyeisogeza mbele Ujerumani katika uwanja wa siasa za kimataifa.

Onesha makala zaidi