Baraza la Mawaziri lajiuzulu Japan | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 16.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Baraza la Mawaziri lajiuzulu Japan

Waziri Mkuu wa Japan Taro Aso pamoja na baraza lote la mawaziri wamejiuzulu rasmi baada ya kushindwa katika uchaguzi wa kitaifa uliofanyika mwezi uliopita.

default

Waziri Mkuu wa Japan aliyejiuzulu Taro Aso

Hatua hiyo inaipa nafasi serikali mpya inayoongozwa na chama cha mrengo wa kati unaoegemea kushoto cha Demokratik kuingia rasmi madarakani.Hii ni mara ya kwanza chama cha Liberali cha Bwana Aso kimepoteza nafasi yake serikalini katika kipindi cha takriban miaka 50.Bunge hilo jipya linatarajiwa kumteua Yukiyo Hatoyama aliye kiongozi wa chama cha Demokratik kuwa Waziri mkuu mpya.

 • Tarehe 16.09.2009
 • Mwandishi Thelma Mwadzaya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/JhX9
 • Tarehe 16.09.2009
 • Mwandishi Thelma Mwadzaya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/JhX9
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com