1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Japan

Kwa karne kadhaa, Japan ilikuwa jamii iliyofunga milango yake hadi pale raia wa kwanza wa Ulaya walipoifungua kwa biashara. Baadae ikageuka na kuendelea kuwa taifa kubwa la kiuchumi katika karne ya 20 hadi hii leo.

Japan ni kisiwa kilichopo katika eneo la kaskazini-mashariki mwa bahari ya Pacific, lenye wakaazi wapatao milioni 126, ikishika nafasi ya kumi duniani kwa kuwa na wakazi wengi. Kwa sasa ndiyo nchi yatatu kwa uchumi mkubwa zaidi duniani. Nchi hiyo inachanganya mfumo wa maisha ya kimagharibi na dini na utamaduni wake wa kale unaokwenda maelfu ya miaka nyuma.

Onesha makala zaidi