Baraza la Idd Zanzibar,Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 01.10.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Baraza la Idd Zanzibar,Tanzania

Leo ni sikukuu ya Idd katika mataifa mengi ya Afrika mashariki, ikiwemo Tanzania na Kenya.

Waislamu duniani washerehekea sikukuu ya Idd el Fitr.

Waislamu duniani washerehekea sikukuu ya Idd el Fitr.

Uganda, Burundi, Ethiopia pamoja na mataifa mengine jirani yamesherehekea sikukuu hii ya Idd El Fitr jana lakini leo pia sherehe hizo zinaendelea.

Huko Zanzibar Rais Amani Karume amehudhuria baraza la Idd asubuhi ya leo na kuzungumza na wananchi.
Mwandishi wetu Salma Said alikuwapo katika shughuli hiyo ya baraza la Idd mjini Zanzibar na Sekione Kitojo alizungumza nae hivi punde kuhusu yale rais Karume aliyosisitiza katika hotuba yake ya baraza la Idd.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com