BAGHDAD: Wanajeshi wa Kiiraki wameuawa kwa makosa | Habari za Ulimwengu | DW | 09.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Wanajeshi wa Kiiraki wameuawa kwa makosa

Nchini Irak,bomu lililotegwa ndani ya gari, limeripuka Kerbala,mji mmojawapo ulio takatifu kwa Washia.Si chini ya watu 8 wamefariki na 30 wengine wamejeruhiwa.Wakati huo huo,wakazi wa Doluiya,kama kilomita 80 kaskazini ya mji mkuu Baghdad wamesema,wanajeshi wa Kimarekani kwa makosa waliwaua wanajeshi 3 wa Kiiraki katika operesheni ya uvamizi iliyofanywa katika eneo hilo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com